"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"
TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, NOVEMBA MWAKA 2020
Jumla ya matukio 92ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Novemba,
2020.
Kulikuwa na waathirika 92 ambao waathirika Wanawake ni 12 (asilimia13.0) na watoto ni 80
sawa na asilimia 86.96, miongoni mwao wasichanani71 (asilimia87.0) na wavulana ni
9(asilimia11.3).
Download Report
Key Indicators
25% of households headed by females
31% of parliamentary seats are held by women
Gender Statistics and SDGs