"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, MACHI 2020


Jumla ya matukio 136 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Machi, 2020. Kulikuwa na waathirika 136 ambao waathirika Wanawake ni 12 (asilimia 8.8) na watoto ni 124 sawa na asilimia 91.2, miongoni mwao wasichana ni 103 (asilimia 83.1) na wavulana ni 21 (asilimia 16.9)
Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter