"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, MWAKA 2020


Jumla ya matukio 1,363 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwaka 2020. Kulikuwa na waathirika 1,363 ambao waathirika Wanawake ni 217 (asilimia 15.9) na watoto ni 1146 sawa na asilimia 84.1, miongoni mwao wasichana ni 899 (asilimia 78.4) na wavulana ni 247 (asilimia 21.6).
Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter