"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, MEI 2021


Jumla ya matukio 66 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Mei, 2021.Kulikuwa na waathirika 66 ambao waathirika Wanawake ni 8 (asilimia 12.1) na watoto ni 58 sawa na asilimia 87.9, miongoni mwao wasichana ni 48 (asilimia 82.8) na wavulana ni 10 (asilimia17.2).
Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter