Jumla ya matukio 115 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Septemba, 2020
Kulikuwa na waathirika 115 ambao waathirika Wanawake ni 14 (asilimia 12.2) na watoto ni 101 sawa na asilimia 87.8, miongoni mwao wasichana ni 82 (asilimia 81.2) na wavulana ni 19 (asilimia 18.8).