Jumla ya matukio 1,222 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwaka, 2021. Kulikuwa na waathirika 1,222 ambao waathirika Wanawake ni 154 (asilimia 12.6) na watoto ni 1,068 sawa na asilimia 87.4, miongoni mwao wasichana ni 846 (asilimia 79.2) na wavulana ni 222 (asilimia 20.8).