"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, JANUARI 2022


Jumla ya matukio 65 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Januari, 2022. Kulikuwa na waathirika 65 ambao waathirika Wanawake ni16 (asilimia 24.6) na watoto ni 49 sawa na asilimia 75.4, miongoni mwao wasichana ni 43 (asilimia 87.8) na wavulana ni 6 (asilimia 12.2)
Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter