Jumla ya matukio 100 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Februari, 2022. Kulikuwa na waathirika 100 ambao waathirika Wanawake ni 16 (asilimia 16.0) na watoto ni 84 sawa na asilimia 84.0, miongoni mwao wasichana ni 70(asilimia 83.3) na wavulana ni 14(asilimia 16.7)