"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA ZANZIBAR, MEI 2022


Jumla ya matukio 74 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Mei, 2022. Kulikuwa na waathirika 74 ambao waathirika Wanawake ni nane(8)(asilimia 10.8),wanaume wenye ulemavu ni wawili(2) sawa na asilimia 2.7 na watoto ni 64 sawa na asilimia 86.5, miongoni mwao wasichana ni 46(asilimia 71.9) na wavulana ni 18 (asilimia 28.1).
Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter