"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"
TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, JULAI MWAKA 2020
Jumla ya matukio 114 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Julai, 2020.
Kulikuwa na waathirika 114 ambao waathirika Wanawake ni 19 (asilimia 16.7) na watoto ni 95 sawa na asilimia 83.3, miongoni mwao wasichana ni 74 (asilimia 77.9) na wavulana ni 21 (asilimia 22.1).
Download Report
Key Indicators
25% of households headed by females
31% of parliamentary seats are held by women
Gender Statistics and SDGs