"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

MPANGO KAZI WA KUIMARISHA TAKWIMU ZA JINSIA ZANZIBAR 2020-2023


Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali (OCGS) imefanya jitihada mbalimbali za kuimarisha uzalishaji, upatikanaji na matumizi ya takwimu za jinsia ili kufikia malengo hayo. Uimarishaji ulianza kwa kuanzisha kitengo cha takwimu za jinsia ambacho kina jukumu/lengo la kukusanya, kuweka pamoja na kuchambua takwimu za jinsia na kuhakikisha kinajaza mapungufuya takwimu zinazokosekana; kuboresha upatikanaji wa viashiria vya jinsia kwa uchanganuo wa kina vinavyotokana na tafiti, sensa na taarifa za utawala; na kutoa muongozo kwa watoaji wa taarifa juu ya ukusanyaji, uandishi wa ripoti na usambazaji wa takwimu za jinsia.


Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter