Ni brochure inayoeleza takwimu ya jinsia katika mambo tafouti Zanzibar. Zipo taarifa za dadi ya Wanafunzi Walioendelea Kidato cha Tano, Maana ya Ajali ya Barabarani, n.k
Mfano wa Takwimu zilizokuwepo ni:
Asilimia ya Wajumbe Wanawake katika Baraza la Wawakilishi imeongezeka kutoka 32.9% mwaka 2015 hadi 36.4% mwaka 2018