Jumla ya matukio 95 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Aprili, 2020.Kulikuwa na waathirika 95 ambao waathirika Wanawake ni 2 (asilimia 2.1) na watoto ni 93 sawa na asilimia 97.9, miongoni mwao wasichana ni 79 (asilimia 84.9) na wavulana ni 14 (asilimia 15.1).