Jumla ya matukio 102 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Juni, 2020. Kulikuwa na waathirika 102 ambao waathirika Wanawake ni 28 (asilimia 27.5) na watoto ni 74 sawa na asilimia 72.5, miongoni mwao wasichana ni 53 (asilimia 71.6) na wavulana ni 21 (asilimia 28.4)