Jumla ya matukio 114 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Julai, 2020.Kulikuwa na waathirika 114 ambao waathirika Wanawake ni 19 (asilimia 16.7) na watoto ni 95 sawa na asilimia 83.3, miongoni mwao wasichana ni 74 (asilimia 77.9) na wavulana ni 21 (asilimia 22.1).