Jumla ya matukio 1,363 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwaka 2020. Kulikuwa na waathirika 1,363 ambao waathirika Wanawake ni 217 (asilimia 15.9) na watoto ni 1146 sawa na asilimia 84.1, miongoni mwao wasichana ni 899 (asilimia 78.4) na wavulana ni 247 (asilimia 21.6).