Jumla ya matukio 122 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Januari, 2021. Kulikuwa na waathirika 122 ambao waathirika Wanawake ni 20 (asilimia 16.4) na watoto ni 102 sawa na asilimia 83.6, miongoni mwao wasichana ni 73 (asilimia 71.6) na wavulana ni 29 (asilimia 28.4).