Jumla ya matukio 96 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Agosti, 2021. Kulikuwa na waathirika 96 ambao waathirika Wanawake ni 9 (asilimia 9.4) na watoto ni 87 sawa na asilimia 90.6, miongoni mwao wasichana ni 69 (asilimia 79.3) na wavulana ni 18 (asilimia 20.7)