"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"

TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, MWAKA 2021


Jumla ya matukio 1,222 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwaka, 2021. Kulikuwa na waathirika 1,222 ambao waathirika Wanawake ni 154 (asilimia 12.6) na watoto ni 1,068 sawa na asilimia 87.4, miongoni mwao wasichana ni 846 (asilimia 79.2) na wavulana ni 222 (asilimia 20.8).
Download Report

Key Indicators

 25% of households headed by females

 31% of parliamentary seats are held by women

Events

×

Gender Statistics and SDGs


Related links


Staff Email Email
Follow us on: Facebook Instagram Twitter