"MAKING EVERY WOMEN AND GIRL COUNT"
TAKWIMU ZA UKATILI NA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO -ZANZIBAR, AGOSTI MWAKA 2020
Jumla ya matukio 116 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Agosti, 2020.
Kulikuwa na waathirika 116 ambao waathirika Wanawake ni 11 (asilimia 9.5) na watoto ni 105 sawa na asilimia 90.5, miongoni mwao wasichana ni 79 (asilimia 75.2) na wavulana ni 26 (asilimia 24.8).
Download Report
Key Indicators
25% of households headed by females
31% of parliamentary seats are held by women
Gender Statistics and SDGs