Lengo kuu la kutolewa toleo hili ni kutoa taarifa za ajali na makosa ya barabarani za ndani ya Zanzibar. Taarifa hizi ni muhimu na hutumika na wapangaji, watunga sera, watoa maamuzi na wasimamizi wa sheria.
Ajali za Barabarani Jumla ya ajali 33 zimeripotiwa mwezi Januari, 2026. Wilaya ya Kati imeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali saba (7) sawa na asilimia 21.2 ukilinganisha na wilaya nyingine.
Published on December 19, 2025