TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, APRIL 2026
Jumla ya
ajali 23 zimeripotiwa mwezi Aprili, 2026. Wilaya ya Kaskazini ‘A’ na Magharibi
‘B’ zimeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali nne (4) sawa na asilimia 17.4 kwa
kila wilaya ukilinganisha na wilaya nyingine. Idadi ya
ajali za barabarani zilizotokea kwa mwezi Aprili, 2026 zimepungua kwa asilimia
25.8 na kufikia ajali 23 kutoka ajali 31 zilizoripotiwa mwezi Machi 2026.
Mwezi wa
Aprili 2026, Wilaya ya Kaskazini ‘A’ na Magharibi ‘B’ zimeripotiwa kuwa na
ajali zaidi, ajali nne (4) kwa kila wilaya ikilinganishwa na wilaya ya Kati
ambayo ilikuwa na ajali tano (5) zilizoripotiwa kwa mwezi wa Machi 2026.
Published on May 22, 2026
Welcome to OCGS
🌟 Welcome to OCGS! 🌟
Stay updated with the latest news and reports directly from OCGS. Subscribe now to receive timely notifications and ensure you never miss out on important releases. We're excited to have you join our community!