TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, JUNI 2026 image

TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, JUNI 2026


Idadi ya ajali za barabarani zilizotokea kwa mwezi Juni, 2026 zimepungua kwa asilimia 3.6 na kufikia ajali 27
kutoka ajali 28 zilizoripotiwa mwezi Mei 2026
Mwezi wa Juni 2026, Wilaya ya Kaskazini ‘A’ imeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali nane (8) ikilinganishwa na
wilaya ya Kati iliripotiwa kuwa na ajali sita (6) kwa mwezi wa Mei 2026.

Published on July 15, 2026