Release Statistics
- 04 TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI NA MAKOSA YA BARABARANI MWEZI APRIL 2023
- 2023-06-08
- Jumla ya ajali 15 zimeripotiwa mwezi wa Aprili 2023 ambapo Wilaya ya MagahribiA imeongoza kuwa na ajali zaidi ikilinganishwa na wilaya nyengine Mlinganisho waidadi ya Ajali za barabarani zilizotokea kwa mwezi Aprili imeongezeka kwa asilimia 154kutoka ajali 13 kwa mwezi wa Machi hadi ajali 15 kwa mwezi wa Aprili 2023